Ubungo Anglican Church exists to glorify God by reaching up, reaching in, and reaching out
Welcome to the Parish of St. Bartholomew Anglican Church. The church is located in Ubungo, Dar es Salaam – Tanzania. It is among the Parishes of the Diocese of Dar es Salaam, Anglican Church of Tanzania (ACT)
People of our Parish are warm hearted, genuinely loving and they extend this sprit to all who come among us.. read more>>
Ee Bwana Yesu Kristo, ulipokuja mara ya kwanza ulimtanguliza mjumbe wako aitengeneze njia yako: Uwajalie wahudumu na mawakili wa siri zako, waitengeneza vivyo njia yako, kuielekeza mioyo ya wasiotii katika hekima ya kweli yako: ili utakapokuja tena kuuhukumu ulimwengu, tuonekane kuwa watu wenye kibali machoni pako. Uishiye na kumiliki pamoja na Mungu Baba, katika umojawa Roho Mtakatifu, Mungu, daima milele na milele. Amin